November 09, 2023

Gerald Mturi "Sheria zetu zinataka kampuni za madini kufungua akaunti za benki hapa ndani (nchini) lakini ukweli ni kwamba benki zetu hazina uwezo wa kuhudumia" Anasema uamzi huo umesababisha changamoto ya upatikanaji wa mitaji kwa kampuni za madini jambo ambalo linazilazimu kuuza hisa zake ili kup....

Sheria zetu zinataka kampuni za madini kufungua akaunti za benki hapa ndani (nchini)
Gerald Mturi
"Sheria zetu zinataka kampuni za madini kufungua akaunti za benki hapa ndani (nchini) lakini ukweli ni kwamba benki zetu hazina uwezo wa kuhudumia" Anasema uamzi huo umesababisha changamoto ya upatikanaji wa mitaji kwa kampuni za madini jambo ambalo linazilazimu kuuza hisa zake ili kupata mtaji. "Wanashindwa kupata mikopo ya kulipa watu fidia na kuendeleza shughuli zao, benki zetu hazienda, wakienda nje wanakuta changamoto ya kutopewa mikopo kwakuwa hawana akaunti nao"

Related Posts

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi) 2026
Jul 21, 2026

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi) 2026

About the Programme ESKi Tanzania is a capacity development programme designed to nurture and empower the next generation of leaders, community advoca...

CALL FOR ABSTRACTS
Jun 12, 2026

CALL FOR ABSTRACTS

📢 CALL FOR ABSTRACTS HakiRasilimali invites researchers, academics, practitioners, policymakers, and civil society actors to submit abstracts for th...

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 02, 2025

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

ESKi Tanzania ni programu ya kukuza uwezo iliyoundwa ili kukuza na kuendeleza kizazi kipya cha viongozi, watetezi wa jamii na wataalamu wanaoshughulik...