October 24, 2021

Mwaka 2017 Bunge la Tanzania lilipitisha Miswada ya Sheria ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa. Sheria hizo zililenga kudhibiti usafirishaji wa Rasilimali ghafi (madini) nje ya nchi yakiwamo maarufu kama makinikia kwa ajili ya uchakataji. Pia, sheria hizo zilibadilisha viwango vya Tozo mfano Mrabaha.....

Je, Sheria za Sekta ya Uziduaji ni Rafiki Kuvutia Uwekezaji?
Mwaka 2017 Bunge la Tanzania lilipitisha Miswada ya Sheria ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa.

Sheria hizo zililenga kudhibiti usafirishaji wa Rasilimali ghafi (madini) nje ya nchi yakiwamo maarufu kama makinikia kwa ajili ya uchakataji. Pia, sheria hizo zilibadilisha viwango vya Tozo mfano Mrabaha ulipanda kutoka asilimia 3 mpaka 6 lengo likiwa kuongeza mapato ya Serikali.

Sheria hizo pia zilitoa mamlaka kwa serikali kupata asilimia 16 za hisa kutoka kwenye kila kampuni ya uchimbaji mkubwa wa madini.

Kesho kwenye mjadala wa Mamlaka ya kudumu na uwekezaji katika sekta ya uziduaji tutasikiliza mjadala huo ulioandaliwa na taasisi ya HakiRasilimali katika hoteli ya Royal Village jijini Dodoma, ambapo atakuwepo waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato, na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mhe. Exaud Silaoneka.

Related Posts

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 02, 2025

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

ESKi Tanzania ni programu ya kukuza uwezo iliyoundwa ili kukuza na kuendeleza kizazi kipya cha viongozi, watetezi wa jamii na wataalamu wanaoshughulik...

Call for Application – Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 01, 2025

Call for Application – Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

Capacity-building opportunity for CSOs, youth and media to deepen technical expertise.

External audit services tender
Aug 14, 2025

External audit services tender

HakiRasilimali invites qualified firms to submit proposals for annual audit engagements.