June 30, 2017

Sisi HakiRasilimali-PWYP, jukwaa la Asasi za Kijamii ambazo zinashughulikia masuala ya madini, mafuta na gesi nchini Tanzania, tumefuatilia kwa umakini miswada mipya ya madini iliyosomwa kwa mara ya kwanza bungeni tarehe 29 Juni 2017. Miswada iliyosomwa kwa mara ya kwanza bungeni hapo ni: Mu...

Sisi HakiRasilimali-PWYP, jukwaa la Asasi za Kijamii ambazo zinashughulikia masuala ya madini, mafuta na gesi nchini Tanzania, tumefuatilia kwa umakini miswada mipya ya madini iliyosomwa kwa mara ya kwanza bungeni tarehe 29 Juni 2017.

Miswada iliyosomwa kwa mara ya kwanza bungeni hapo ni:

Muswada wa Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017.
Muswada wa Sheria ya Mamalaka ya nchi kuhusu Umiliki wa Maliasili wa mwaka 2017.
Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali wa mwaka 2017
Read more: PRESS RELEASE-MISWADA2017

Related Posts

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi) 2026
Jul 21, 2026

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi) 2026

About the Programme ESKi Tanzania is a capacity development programme designed to nurture and empower the next generation of leaders, community advoca...

CALL FOR ABSTRACTS
Jun 12, 2026

CALL FOR ABSTRACTS

📢 CALL FOR ABSTRACTS HakiRasilimali invites researchers, academics, practitioners, policymakers, and civil society actors to submit abstracts for th...

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)
Sep 02, 2025

Call for Application-Extractive Sector Knowledge Transfer Incubator (ESKi)

ESKi Tanzania ni programu ya kukuza uwezo iliyoundwa ili kukuza na kuendeleza kizazi kipya cha viongozi, watetezi wa jamii na wataalamu wanaoshughulik...