#EITI
Accountability
ADLG
Analysis
Bills
call for bid
Communities
contracts
CSO week
CSO Week 2021
Darubini
EU
Factsheet
HakiMadini
HakiRasilimali
internship
Interview
ISCEJIC
Job
jukwaa la uziduaji
Kepa
legislation
LHRC
Local content
madini
Mining
NRGI
Oil and Gas
Our Position
Parliament
Policies
Policy Forum
PRESS
publication
PWYP
report
research
Short course
small scale mining
StatOil
Tanzania
TEITI
Tender
Transparency
Wiki ya Azaki 2021
Wadau wa uziduaji wameshauri baadhi ya vipengele vya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 kufanyiwa marekebisho, ili kuongeza ufanisi katika sekta ya madini. Wametoa wito huo leo Novemba 9,2023 katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uziduaji, lililoandaliwa na Shirikia lisilo la kiserikali la HakiRasilimali, kwa lengo la kujadili mafanikio na changamoto katika sekta ya madini, pamoja na kutoa mapendekezo ya maboresho.
Kwa mujibu wa wadau hao, mojawapo ya kipengele cha sheria ni kile kinacholazimisha makampuni ya uchimbaji madini ya nje kuwa na akaunti ya Benki nchini (Tanzania) tu, hatua inayowakosesha mitaji ya uzalishaji madini. “Uchimbaji madini unahitaji mitaji mkubwa ambayo taasisi zetu za ndani za kifedha bado hazijawa na uwezo wa kukopesha. “Kwa mfano, uzalishaji wa madini ya Nikeli katika mgodi wa Kabanga unahitaji takribani dola za kimarekani billioni moja, kiasi ambacho upatikanaji wake kwa benki za nchini ni changamoto,” amesema Meneja Mkuu wa Kampuni ya Adavale Resources (TZ) Limited, Gerald Mturi. Mwisho
Share This Story, Choose Your Platform!
continue reading
Related Posts
WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde, ametaja mikakati ya Wizara hiyo […]
Mchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa […]
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) Shirika la Wanawake katika shughuli za […]