Recent Tenders
NaCoNGO: Hivi Ndivyo Ushiriki wa Azaki kwenye Mipango ya Maendeleoa Utafanikiwa
Asasi za Kiraia nchini zimeshauriwa kuwa na mipango mikakati mizuri inayofungamana na mipango ya kitaifa ya maendeleo endelevu ili waweze kushiriki kikamilifu na kuchangia katika kujenga uchumi wa Taifa. Katibu wa Baraza la Taifa la
Je, Sheria za Sekta ya Uziduaji ni Rafiki Kuvutia Uwekezaji?
Mwaka 2017 Bunge la Tanzania lilipitisha Miswada ya Sheria ya ulinzi wa Rasilimali za Taifa. Sheria hizo zililenga kudhibiti usafirishaji wa Rasilimali ghafi (madini) nje ya nchi yakiwamo maarufu kama makinikia kwa ajili ya uchakataji.
Women Miners Prefer Financial Assistance to Mining Education
HOWEVER, the miners have acknowledged the support they receive from the relevant authorities particularly the material support such as training and expert advice or assistance related to the mining sector. Tanzanian women miners are of
Bado ni Changamoto Ufungamanishaji wa Sekta ya Madini na Kilimo
Mbunge wa jimbo la Busanda mkoani Geita, Mhe. Tumaini Magessa amesema kuna haja ya kuwa na kampeni ya nchi nzima kuhamasisha ufungamanishaji wa sekta ya madini na sekta nyingine hususani kilimo ili kuwa na uchumi