Recent Tenders
Mikakati ya wizara ya madini katika kuikuza sekta ya madini kiuchumi ifikapo 2030
WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde, ametaja mikakati ya Wizara hiyo katika kuikuza Sekta ya madini kiuchumi ifikapo 2030 kwa kuwekeza kwanza kwenye utafiti. @wizara_ya_madini_tanzania Amebainisha hayo wakati akihitimisha Jukwaa la Sekta ya Uziduaji yani Madini,
Wadau wa uziduaji wameshauri baadhi ya vipengele vya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 kufanyiwa marekebisho
Wadau wa uziduaji wameshauri baadhi ya vipengele vya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 kufanyiwa marekebisho, ili kuongeza ufanisi katika sekta ya madini. Wametoa wito huo leo Novemba 9,2023 katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa
Mabadiliko ya Tabia ya nchi ni tatizo kubwa
Mchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Abel Kinyondo: "Mabadiliko ya Tabia ya nchi ni tatizo kubwa , Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zinazoathiriwa na
Ameishauri serikali kuweka utaratibu wa kuwapatia ujuzi wataalam wa ndani
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) Shirika la Wanawake katika shughuli za uziduaji (WIMO), Lightness Salema, ameishauri serikali kuweka utaratibu wa kuwapatia ujuzi wataalam wa ndani, kwa lengo la kuongeza mnyororo wa thamani katika sekta ya madini.