Recent Tenders
Bado ni Changamoto Ufungamanishaji wa Sekta ya Madini na Kilimo
Mbunge wa jimbo la Busanda mkoani Geita, Mhe. Tumaini Magessa amesema kuna haja ya kuwa na kampeni ya nchi nzima kuhamasisha ufungamanishaji wa sekta ya madini na sekta nyingine hususani kilimo ili kuwa na uchumi
Mhe. Sangu: Gesi ya Helium Kutoka Bonde la Ziwa Rukwa ina Uwezo wa Kuuzwa Katika Soko la Dunia kwa Miaka 20
Imeelezwa kuwa gesi ya Helium inayotarajiwa kuzalishwa katika bonde la Ziwa Rukwa mkoani Rukwa ina uwezo wa kuuzwa kwenye soko la dunia kwa miaka 20 ijayo. Hayo yameelezwa leo na Mbunge wa jimbo la Kwela
Kitendawili cha Ukuaji wa Sekta ya Madini na Maendeleo ya Watu Kuteguliwa
Taarifa mbalimbali zimekuwa zikieleza kuwa sekta ya madini hapa nchini inakua kila mwaka lakini pengine ukuaji huo umekuwa hauonekani kwa wananchi jambo ambalo linaibua swali juu ya uhusiano uliopo kati ya ukuaji wa sekta hiyo
MBUNGE: Serikali Itenge Fungu kwa Ajili ya AZAKI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa umma Fredy Mwakibete amesema kuna haja ya Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fungu katika bajeti yake kwa ajili ya Asasi za Kiraia (AZAKI). Mwakibete ambaye