Recent news
Kuwekeza katika madini hasa madini mkakati kwa manufaa ya watanzania
Wadau wa sekta ya uziduaji waishauri serikali kuweka mikakati thabiti ya kisera na kisheria ili kuhakikisha rasilimali za madini hasa ya madini kimkakati yananufaisha watanzania.Huku takwimu zikionesha mwaka 2022, sekta ya uziduaji ilichangia asilimia 9.1%
Mada kuhusu upatikanaji wa nafuu kutoka kwenye changamoto katika sekta ya uziduaji
Msimamizi wa kitengo cha Biashara katika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Joyce Komanya alitaja maeneo matatu ya kuwasaidia waathirika wa changamoto mbalimbali katika sekta ya uziduaji kupata nafuu, ikiwa ni pamoja na
Maoni ya wadau ni muhimu kuboresha sekta ya Madini
Dodoma, Tanzania. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde alifunga rasmi Jukwaa la Uziduaji kwa mwaka 2024, huku akisisitiza maoni ya wadau mbalimbali ni muhimu katika kuiiendeleza sekta ya Madini,aliipongeza HakiRasilimali kwa kuanda jukwaa hilo ambalo limehudhuriwa