Recent news
“Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Yashauri Teknolojia Mpya kwa Wachimbaji Wadogo ili kuepuka matumizi ya zebaki, kulinda afya na kuongeza uzalishaji.”
DODOMA: Kamati ya kudumu ya bunge ya nishati na madini imeshauri wadau katika sekta ya uziduaji kufikiria teknolojia mpya itakayowawezesha wachimbaji wadogo kuepukana na matumizi ya zebaki katika uchimbaji wa dhahabu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti
Wananchi Wanapaswa Kufrahia Rasilimali Zao
Mkurugenzi wa Taasisi ya HakiRasilimali Adam Anthony "Wananchi wanapaswa kufurahia uwepo wa rasilimali katika maeneo yao. Anthony aliyasema hayo Novemba 05, 2024 wakati wa ufunguzi wa Jukwaa la uziduaji mwaka 2024 linaloendelea kwa siku mbili
Tanzania’s Path to Ethical Sourcing: Enhancing Participation in Global Forums
Welcome to the sixth edition of DARUBINI, our quarterly briefing on Tanzania’s Path to Ethical Sourcing: Enhancing Participation in Global Forums.This issue delves into The global focus on responsible business conduct, particularly in the