Recent news
Sekta Binafsi: Tutatoa Takwimu Maeneo Yanayohitaji Nguvu Kubwa Wakati wa Utelekelezaji wa Mpango wa Maendeleo
Sekta binafsi nchini Tanzania imesema itatoa takwimu mbalimbali kuainisha maeneo ambayo yanahitaji kuwekewa nguvu zaidi wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III) ikiwa ni sehemu ya ushiriki na mchango wake kwenye
Serikali Yakiri Kuzitegemea Azaki Wakati wa Utekelezaji wa Mpango Mpya wa Maendeleo
Serikali ya Tanzania imesema inategemea mchango mkubwa wa Asasi za Kiraia zinazofanya kazi nchini humo katika utekelezaji na ufuatiliaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III) hususani katika kutoa elimu kuhusu mpango huo kwa
NaCoNGO: Hivi Ndivyo Ushiriki wa Azaki kwenye Mipango ya Maendeleoa Utafanikiwa
Asasi za Kiraia nchini zimeshauriwa kuwa na mipango mikakati mizuri inayofungamana na mipango ya kitaifa ya maendeleo endelevu ili waweze kushiriki kikamilifu na kuchangia katika kujenga uchumi wa Taifa. Katibu wa Baraza la Taifa la