Recent news
Waziri Biteko Afunguka Faida ya Marekebisho Sheria ya Madini
Waziri wa Madini Dotto Biteko amebainisha kwamba marekebisho ya sheria ya Madini 2010 yaliyofanyika 2017 yameleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya madini nchini kwa kuongeza pato la Taifa na kuvutia wawekezaji. Waziri Biteko amebainisha haya
AZAKI: Tumeshirikishwa Kikamilifu Kuandaa Mpango wa Tatu wa Maendeleo
Asasi za Kiraia zinazofanya shughuli za kimkakati kwenye Sekta mbalimbali nchini Tanzania zimeeleza kuridhishwa na namna ambavyo imeshirikishwa na Serikali wakati wa zoezi la uandaaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo (FYDP III 2020/21 –
Jesca Kishoa: Serikali Ikishirikiana na AZAKI Tutafanikiwa Kutekeleza Malengo ya Dira ya Madini Afrika
Imeelezwa kuwa Serikali ikishirikiana na Asasi za kiraia itafanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanikisha kutekeleza malengo ya Dira ya madini ya Africa. Hayo yamebainishwa leo, Oktoba 25, 2021 jijini Dodoma na Mjumbe wa kamati ya Bunge