Recent news

Maoni ya wadau ni muhimu kuboresha sekta ya Madini

November 9, 2024|Uncategorized|

Dodoma, Tanzania. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde alifunga rasmi Jukwaa la Uziduaji kwa mwaka 2024, huku akisisitiza maoni ya wadau mbalimbali ni muhimu katika kuiiendeleza sekta ya Madini,aliipongeza HakiRasilimali kwa kuanda jukwaa hilo ambalo limehudhuriwa