Recent news
Askofu Mkuu Kanisa la Mennonite nchini, Nelson Kisare, ametoa wito wa sekta ya madini kuzingatia uwazi na uwajibikaji, ili rasilimali za nchi zinufaishe kizazi cha dasa na kijacho.
Askofu Mkuu Kanisa la Mennonite nchini, Nelson Kisare, ametoa wito wa sekta ya madini kuzingatia uwazi na uwajibikaji, ili rasilimali za nchi zinufaishe kizazi cha dasa na kijacho. Ametoa wito huo leo Novemba 9, 2023,
Tunatakiwa kushikilia manufaa ya madini muhimu yanayowezesha mabadiliko (Transitional Minerals)
Wawekezaji wengi sasa wanawekeza zaidi katika madini hayo lakini kwa Afrika sehemu kubwa inasafirishwa kwenda nje ikiwa ghafi badala ya kuongeza thamani" Anasema ili kunufaika zaidi mataifa ya Afrika yenye madini hayo hayana budi kuongeza
Sera-ya-Ushirikishwaji-Wazawa-Sekta-ya-Madini:-Maendeleo-na-Changamoto-Zilizopo
DARUBINI Toleo la pili, ikiingazia Sera ya Ushirikishwaji Wazawa Sekta ya Madini; Maendeleo na Changamoto Zilizopo. Read the Briefing