Recent Jobs
Profesa Assad Azungumzia Umuhimu wa Wataalamu wa Madini, Mafuta na Gesi Ofisi ya CAG
Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad amesema kuna haja ya ofisi ya CAG kuwa na wataalamu wabobezi katika sekta ya madini ili kuimarisha ukaguzi katika eneo hilo. Katika mdahalo wa
PAC yataja sababu Ripoti ya CAG kutochambuliwa kwa wakati Bungeni
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe, Japhet Hasunga, amebainisha sababu ya Bunge kushindwa kuchambua ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa wakati,
Mwanazuoni: Tutengeneze Dira ya Taifa ya Madini ili Kunufaika
Ukosefu wa Dira ya Taifa ya Madini nchini Tanzania ni moja ya kikwazo kwa nchi kunufaika na Rasilimali za Madini, Serikali imeelezwa. Mwanazuoni Japhance Poncian kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam ameyaeleza haya wakati
Tanzania: Mbio za Uchumi Endelevu Zashika Kasi
Serikali inafanya uhamasishaji wa uwekezaji wa viwanda ili Rasilimali zinazopatikana hapa nchini zitumike katika viwanda hivyo kama sehemu ya juhudi za kufungamanisha shughuli za kiuchumi ili kuwa na maendeeo jumuishi. Hayo yemeelezwa na Naibu Waziri