Recent Jobs
Mabadiliko ya Tabia ya nchi ni tatizo kubwa
Mchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Profesa Abel Kinyondo: "Mabadiliko ya Tabia ya nchi ni tatizo kubwa , Tanzania ni miongoni mwa nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zinazoathiriwa na
Ameishauri serikali kuweka utaratibu wa kuwapatia ujuzi wataalam wa ndani
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) Shirika la Wanawake katika shughuli za uziduaji (WIMO), Lightness Salema, ameishauri serikali kuweka utaratibu wa kuwapatia ujuzi wataalam wa ndani, kwa lengo la kuongeza mnyororo wa thamani katika sekta ya madini.
Afrika ni bara tajiri na masikini wakati huohuo tunazo rasilimali nyingi za kutufanya tuwe matajiri lakini bado tunaishi katika umasikini mkubwa
Afshin Nazir, Afisa sera na uchechemzi wa AFRODAD: "Afrika ni bara tajiri na masikini wakati huohuo tunazo rasilimali nyingi za kutufanya tuwe matajiri lakini bado tunaishi katika umasikini mkubwa" Nazir amesema sababu kubwa ya umasikini
Sekta ya uziduaji kwa muda mrefu imekuwa ni uti wa mgongo wa ukuaji wa uchumi wa nchi (Tanzania) ( Cloned )
Naibu Waziri Wizara ya Madini, Judith Kapiga, amesema Naibu Waziri Wizara ya Madini, Judith Kapiga, amesema sekta ya uziduaji kwa muda mrefu imekuwa ni uti wa mgongo wa ukuaji wa uchumi wa nchi (Tanzania), kwa